Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Geophrey Pinda, amewataka wananchi wanaokabidhiwa hati Miliki za ardhi kuhakikisha wanazitunza ili kuepuka udanganyifu unaoweza kufanyika kutoka watu wasio waaminifu.
Sunday 2 November 2025
⁞
