Sunday 2 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 1 years ago

WAZIRI SILAA AFUNGA OFISI YA MASIJALA YA ARDHI DODOMA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Jerry Silaa, amefunga Masijala ya Ardhi ya Jiji la Dodoma, ikiwa ni hatua ya wizara yake kuondoa changamoto za sekta ya ardhi katika Jiji hilo.


Latest News
Hashtags:   

WAZIRI

 | 

SILAA

 | 

AFUNGA

 | 

OFISI

 | 

MASIJALA

 | 

ARDHI

 | 

DODOMA

 | 

Sources