KIFURUSHI CHA NAJALI, WEKEZA MBADALA WA TOTO AFYA KADI
Serikali imesema mfumo wa kulipia Bima za watoto kupitia Toto Afya Kadi umebadilika na sasa unafanyika kupitia utaratibu wa shule na vifurushi vya bima ya afya vya Najali , Wekeza na Timiza .....