Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, ametangaza siku tano za maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa nchi hiyo, Ebrahim Raisi, huku Makamu wa Rais Mohammad Mokhber akiteuliwa kushika madaraka ya muda.
Sunday 2 November 2025
⁞
