Saturday 25 January 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 18 days ago

NDEJEMBI AMALIZA MGOGORO ULIODUMU MIAKA 30 TANGA

#HABARI: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemaliza mgogoro baina ya wamiliki wa Shamba la Sisal Estate na Wananchi 400 wa Kata ya Kwashemshi Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga uliodumu kwa zaidi ya miaka 30.


Latest News
Hashtags:   

NDEJEMBI

 | 

AMALIZA

 | 

MGOGORO

 | 

ULIODUMU

 | 

MIAKA

 | 

TANGA

 | 

Sources