Saturday 18 January 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 2 month ago

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA TVLA KWA KUZALISHA CHANJO

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Deodatus Mwanyika, imeipongeza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) kwa uzalishaji wa chanjo za mifugo ambazo zinatumika kuboresha afya za mifugo hapa nchini. 


Latest News
Hashtags:   

KAMATI

 | 

BUNGE

 | 

YAIPONGEZA

 | 

KUZALISHA

 | 

CHANJO

 | 

Sources