Saturday 25 January 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 3 month ago

LORI LAUA MJAMZITO, KICHANGA CHATOKA SALAMA

#HABARI: Mama mjamzito mkazi wa Kijiji cha Kidubwa wilayani Mkuranga, Chuki Hassan, amefariki dunia baada ya lori la mchanga kumkanyaga akiwa kwenye usafiri wa bodaboda waliopanda mishkaki , wakati akikimbizwa hospitali ya wilaya ya Mkuranga kujifungua lakini mtoto wake yuko hai baada ya tumbo kupasuka na mtoto kuokotwa pembezoni mwa barabara akiwa hai.


Latest News
Hashtags:   

MJAMZITO

 | 

KICHANGA

 | 

CHATOKA

 | 

SALAMA

 | 

Sources