Saturday 18 January 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 3 month ago

NDEJEMBI AAGIZA WATUMISHI SABA ARDHI KUCHUKULIA HATUA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi,  amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi saba wa wizara hiyo Mkoa wa Dar es Salaam kwa tuhuma za makosa waliyofanya kwenye sekta ya Ardhi.


Latest News
Hashtags:   

NDEJEMBI

 | 

AAGIZA

 | 

WATUMISHI

 | 

ARDHI

 | 

KUCHUKULIA

 | 

HATUA

 | 

Sources