Saturday 18 January 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 3 month ago

MWITO WA KUPATIKANA SULUHU VITA URUSI NA UKRAINE

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi, ametolea mwito wa kupatikana kwa suluhisho la vita vya Urusi na Ukraine, Modi ameyasema hayo katika mkutano wa kilele wa kundi la nchi zinazoinukia kiuchumi, (BRICS) huko Kazan, Urusi.


Latest News
Hashtags:   

MWITO

 | 

KUPATIKANA

 | 

SULUHU

 | 

URUSI

 | 

UKRAINE

 | 

Sources