Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema amefurahishwa na Uongozi wa Mkoa wa Iringa kwa namna wanavyosimamia utekeleza wa miradi ya maendeleo hususan kwenye sekta ya elimu..........
Saturday 25 January 2025
⁞
![](/images/bullet.png)
Wanaochana orodha za majina kwenye vituo vya Kupiga kura. Je, waadhibiwe kama wachochezi na wahujumu?
- itv![](/images/bullet.png)
Tatizo la bidhaa zilizo chini ya kiwango sokoni. Je, Waadhibiwe wazalishaji , wasambazaji na wauzaji?
- itv![](/images/bullet.png)
Agizo la Serikali la kuwataka Watendaji wa Sekta ya Kilimo kutakiwa kuhamia walipo wakulima kutatua kero zao. Je, litekelezwe kivitendo?
- itv![](/images/bullet.png)
Wanaotoa mikopo kausha damu kusababisha kifo wakidai marejesho. Je, wanadhibitiwa kisheria kuepuka maafa zaidi?
- itv![](/images/bullet.png)
Ukaguzi wa kushtukiza wa kikosi cha usalama barabarani Kilimanjaro kubaini madereva wa mabasi ya abiria walevi uliofanyika kituo kikuu cha mabasi Je, uwe endelevu nchi nzima?
- itv![](/images/3points.png)